sameerkhan
Member
- Nov 5, 2015
- 97
- 34
zipo apps ambazo huwezi kuzitumia kama simu haujairoot hivyo nilitaka kuzitumia hizo appsKwanza uliroot kwa sabab zipi ili nkusaidie ilo tatzo lako
Wewe inaelekea unayaelewa haya mambo, mimi nina Tablet Itel double line ina week sasa kila baada dakika kumi au ishirini lazima ijioffline zote mbili kwa dakika moja halafu ndio network inarudi, customer care uchwara huku niliko wameshindwa kunisaidia maana nimejiridhisha knowledge yangu ni kubwa kuliko wao, je nini solution kwenye hili?Kwanza uliroot kwa sabab zipi ili nkusaidie ilo tatzo lako
ngoja tusubiri watakuja tu kutupa majibu mkuuWewe inaelekea unayaelewa haya mambo, mimi nina Tablet Itel double line ina week sasa kila baada dakika kumi au ishirini lazima ijioffline zote mbili kwa dakika moja halafu ndio network inarudi, customer care uchwara huku niliko wameshindwa kunisaidia maana nimejiridhisha knowledge yangu ni kubwa kuliko wao, je nini solution kwenye hili?
mfano app gan?nilitaka kutumia apps nyingi ambazo haziwezi kutimika katika simu ambayo sio rooted
unataka kunisaidia kutatua tatizo au unataka kujua hizo apps ambazo zinatumika kwa simu zilizokua rooted??mfano app gan?
haaaaahhh haaaahhhh haa....... daahhHuwa nafikiria sana kuroot simu yangu moyo unasita, labda ninunu Tecno ya kufanya majaribio.
Mkuu swali langu umeliona? Nina Itel ina week sasa kila baada ya dakika 10 inakata network then baada ya dakika moja inarudi, hii inaleta shida kama upo JF basi hata post uliyokuwa unaandika hupotea, hivi hii inaweza kuwa nini? Nimeangalia settings sijaona kama kuna tatizo kwenye settings.mara nyingi ukiona unaroot simu halafu inaji unroot au kurestore hivyo ujue wamelock bootloader,
hiyo bootloader naweza kuiondoa kwa kutumia nini hapo msaada plzmara nyingi ukiona unaroot simu halafu inaji unroot au kurestore hivyo ujue wamelock bootloader,
mpaka upate ruhusa ya mtengeneza simu, wao ndio wanakuwa na tools za kui unlockhiyo bootloader naweza kuiondoa kwa kutumia nini hapo msaada plz
jaribu kubadili line, jaribu kueka E, 3g uone kama tatizo linaendelea. pia ushauri wangu irudishe uliponunua simu ina wiki tu hakuna haja kuhangaika nayo si una warranty?Mkuu swali langu umeliona? Nina Itel ina week sasa kila baada ya dakika 10 inakata network then baada ya dakika moja inarudi, hii inaleta shida kama upo JF basi hata post uliyokuwa unaandika hupotea, hivi hii inaweza kuwa nini? Nimeangalia settings sijaona kama kuna tatizo kwenye settings.