daisyvicky
JF-Expert Member
- Sep 22, 2012
- 343
- 198
baada ya fundi ku ifomat, ulivoiangalia ilikuwa haikuwa imebaki na app yeyote? unayo google acount?
Mimi nilikuwa na tatizo kama hilo. Nilidownload 360 antivirus na kuiscan, mambo yakawa shwari.
Hapana. Nilijaribu kufanya hivyo lakini ilikuwa haiwezekana kufanya kupitia kwenye PC. Sasa kama ni hivyo itabidi usubiri watu wenye utaalamu wa ku-restote hiyo operating system ya simu yako.
wakati unaendelea kusubiri msaada ni vema ukaito betri hata kwa muda wa siku 5 ukiweza hata siku 7. Cm nying zina power server kwa ajili ya kutunza kumbukumbu. Yenyewe haiishi chaji kirahisi mpaka itengane na betri kwa muda mrefu (inategemea) ikiisha nguvu cm inaweza kupoteza memory na tatizo likawa solved. Usiwe na tamaa ya kuweka betri haraka kwani kuweka betri kunamaanisha kuichaji powerserver upya! vumilia kwa siku 5~7.