Msaada Simu inabagua kusoma sim card

Msaada Simu inabagua kusoma sim card

Pablo 119

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2018
Posts
1,520
Reaction score
1,969
Habari zenu wana jukwaa please naombeni msaada wenu Simu yangu ni samsung note 3 inabagua kusoma sim card mwanzo nilipochukua ilikua inasoma halotel na voda ila tigo na airtel zilikua zinagoma baadae nika restore nikaweka line ya airtel ikasoma sasa hivi line zingine zina goma kusoma mwenye kujua tatizo hili anijuze
20180602_074922.jpg
 
Ngoja mimi wa Tecno nikae pembeni nione show ya wababe.
 
Jaribu kunew hizo laini Wenda zimekwanguka ,ilishawahi kutpkea kwangu nilifanikiwa kwa kurew line.
 
Back
Top Bottom