Msaada: Simu imejiweka mistari

Msaada: Simu imejiweka mistari

Kukaushwa kivip
Sory nimechanganya na simu ya mteja hapa ameileta imedumbukia kwenye maji. Mawazo yote yalikua huko.

But kama utaitunza vizuri isipate mgandamizo itadumu kiasi. Ila jipange mapema, itaanza kuchemka kupita kiasi pia inaweza kupata tatizo la kustack
 
whatsa
3e0fae24e76f02411b4efd309764f963.jpg
whatsapp yako nzuri kama wewe mwenyewe
 
Sory nimechanganya na simu ya mteja hapa ameileta imedumbukia kwenye maji. Mawazo yote yalikua huko.

But kama utaitunza vizuri isipate mgandamizo itadumu kiasi. Ila jipange mapema, itaanza kuchemka kupita kiasi pia inaweza kupata tatizo la kustack
Kumbe ww n fund uko mkoa gan
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom