Ta-kibombo
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 648
- 514
Simu yako haina internet configuration ya mtandao wa halotel, unahitaji ku-install manually(hizo configurations) mkuu.Wadau heshima kwenu.kuna simu nikiweka laini ya halotel mtandao unasoma lakini internet connection haisomi.Litakua tatzo ni nini make laini hiyo hyo nikiweka kwema kwenye simu nyingine internet unasoma.pia simu hiyo hiyo nikiweka laini nyingine internet connection unasoma vizuti tu
Simu yako haina internet configuration ya mtandao wa halotel, unahitaji ku-install manually(hizo configurations) mkuu.
Nainstall VIP hyo configurationSimu yako haina internet configuration ya mtandao wa halotel, unahitaji ku-install manually(hizo configurations) mkuu.
APN hazipo na add VIP mkuuAngalia kwenye acces point kama zipo sawa nenda setting/more/ mobile network uangalie kama Apn zipo. Kama hazipo inabidi u Add
APN hazipo na add VIP mkuu
Nashukuru mkuu ngoja nilifanyie kazi
Kesho asubuhi nenda centre yoyote ya halotelWadau nimejaribu kufata maelekezo yenu lakini nimeshindwa make nikifungua APN kwny simu haileti option yaku_add inaleta 1.Vodacom internet.2.vodacom 3.Vodacom MMS.pia nikiweka airtel nayo hivyo hvyo ila nikiweka halotel kwenye APN hakuna kitu.Simu ni ya laini moja
Wadau nimejaribu kufata maelekezo yenu lakini nimeshindwa make nikifungua APN kwny simu haileti option yaku_add inaleta 1.Vodacom internet.2.vodacom 3.Vodacom MMS.pia nikiweka airtel nayo hivyo hvyo ila nikiweka halotel kwenye APN hakuna kitu.Simu ni ya laini moja
Weka laini ya halotel kisha nenda kwenye APN kama huoni kitu bonyeza menu button kwenye simu yako (yaani chini maana kuna back home na menu). Ukifanya hivyo yatajitokeza maneno add APN/newAPN click kisha fuata maelekezo ya wadau hapo juu kuweka APN za halotel.Wadau nimejaribu kufata maelekezo yenu lakini nimeshindwa make nikifungua APN kwny simu haileti option yaku_add inaleta 1.Vodacom internet.2.vodacom 3.Vodacom MMS.pia nikiweka airtel nayo hivyo hvyo ila nikiweka halotel kwenye APN hakuna kitu.Simu ni ya laini moja
Mpaka uset mi almanusura nivunje simuWadau heshima kwenu.kuna simu nikiweka laini ya halotel mtandao unasoma lakini internet connection haisomi.Litakua tatzo ni nini make laini hiyo hyo nikiweka kwema kwenye simu nyingine internet unasoma.pia simu hiyo hiyo nikiweka laini nyingine internet connection unasoma vizuti tu
Acha kumpotosha halotel mara nyingi ni mpaka usetHiyo itazima mwezi wa sita
Ni simu ganiWadau nimejaribu kufata maelekezo yenu lakini nimeshindwa make nikifungua APN kwny simu haileti option yaku_add inaleta 1.Vodacom internet.2.vodacom 3.Vodacom MMS.pia nikiweka airtel nayo hivyo hvyo ila nikiweka halotel kwenye APN hakuna kitu.Simu ni ya laini moja
Simu ni ya jamaa yangu hapa ni Vodafone 685 IPO rooted na unlockedUnatumia simu gani?
Sawa Kabisa zitakuja hata mm Kuna siku ili isumbuaWe
Weka laini ya halotel kisha nenda kwenye APN kama huoni kitu bonyeza menu button kwenye simu yako (yaani chini maana kuna back home na menu). Ukifanya hivyo yatajitokeza maneno add APN/newAPN click kisha fuata maelekezo ya wadau hapo juu kuweka APN za halotel.