Msaada: Simu Hainasi Bluetooth;

Komba03

Member
Mar 19, 2019
94
72
Wakuu habari za Leo.... Ninahitaji Msaada Kwa mjuzi yeyote, nijue ni ishu serious ya simu au ni setting tu.. Ninatumia Infinix Hot 10... Mwanzo ilikuwa inashika na kucconect Bluetooth vizuri tu, ila Kwa sasa Haitaki kabisaa hata kuisoma nearby Bluetooth... Je, naomba kufahamu shida kubwa ni Nini?? Je, wenye simu ya aina hii walikumbwa na changamoto ya aina hii, na Nini kilifanyika?
NB: Simu Bado ni mpya Ina miezi miwili tu.
 
Itakua uliangusha ikabada hardware crush, bila shaka wifi nayo haifanyi kazi. Maana wireless connection mara nyingi kwenye simu wanaweka sehm moja.
Kubadilisha AC yake hua ni 10k bila shaka haizidi
 
Kama una fundi mwaminifu wa software mkabidhi uone ishu ni nini.

Ila hot 10 hasa i au t ni tatizo sana sio muda hiyo itaanza kuita bila kuonesha kama inaita wala mpigaji na itakua haipokeleki
 
Back
Top Bottom