tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,146
Wakuu natumia nokia 2700, kila nikitaka kudownload application inaniandikia "no certificate", msaada wenu nifanyeje? Kwani nimeshindwa hata ku-upgrade operamin
Uliwahi kuflash simu yako? Kama hujawahi jaribu kuingia kwenye menu,settings, security settings, authority certificates then activate mojawapo ya certificates. Kama kuna tatizo bado rudi.
Kwa kuwa umeflash tatizo lipo hapo kwa sababu hao mafundi hawaweki software original za Nokia ndio maana zinasumbua kuactivate certificates. Mimi pia nimepata tatizo na simu yangu Nokia 5130 XpressMusic haina original software kwa hiyo siwezi kudownload applications. Lakini kwa suala la opera mini unaweza kudownload unsigned version. Nenda m.opera.com, ikifunguka shuka kwenye other download options, fungua version unayotaka. Ikifunguka shuka kwenye certificate options, chagua no certificate,click na endelea kudownload itafanya kazi. Mimi natumia opera mini 6.5, 4.4 na next zote unsigned. Zinafanya kazi ila unachokosa ni security. Applications zingine kwa kweli ni kilio mpaka ninunue simu nyingine.
mkuu nashukuru, nimeipata opera 6.5

thanx mkuu umenisaidia na mimi kupata operamini with no certificate
Embu nipeni somo kidogo hapa! Ukiflash simu nini kinatokea?