BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,704
- 6,499
Wakuu simu yangu ilikuwa inafanya edditing kila ni kiandika, mfano Grammer ilikuwa ina leta neno sahihi na hii ilikuwa ni kote kote iwe naandila sms ya kawaida, iwe ni whatsapp, facebook au hata humu Jf. Kwa sasa naona imeacha kufanya hivyo sijajua hata unafanyaje fanyaje.
Anaye jua anisaidie basi
Anaye jua anisaidie basi