MSAADA:Simu haidownload apps kutoka play store

mchumi tumbo

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
832
988
Kama heading inavyojieleza. Mtandao upo vizuri kwani mambo mengine nayafanya vizuri tu ila kudownload app kwenye playstore ndo yawashida inaload tu kwa muda mrefu.Msaada kwa anayefahamu chanzo cha tatizo na jinsiya kurekebisha.
Brand: infinix hot 6 X
 
Mchumi...
Jaribu ku download kwa data ya simu.
Niko na shida Kama hiyo, nikitumia wifi ya Linksys inakataa but zengine Zina kubali.

Back
Top Bottom