Kwanza kabisa taja model ya simu piga na picha kabisa weka hapa ili tuoneHabari ndugu zanguni
Naombeni msaada juu ya hili tatizo, simu yangu inatumia LINE mbili sasa baada ya kufanya system update limeibuka tatizo la "SIM 1 not allowed". Nimejaribu kurestart simu, tatizo likapotea kama dakika kadhaa halafu likarudi tena.
Kuna mtu aliwahi kukutana na hili tatizo na alilitatuaje, aina ya simu ni Samsung. Msaada tafadhali, natanguliza shukrani
Kwenye setting line 1 ipo ON, kuhusu kuwa locked hapo ndio sifahamu mana kabla ya kuupdate system, hii shida haikuwepo. Nashukuru kwa reply yako mkuuHio simu sio ya mtandao wa simu kwamba line 1 ilikuwa locked?
Pia angalia sometime inawezekana umeweka line 1 off kwenye setting
Bonyeza *#0011# chagua SIM ONE information afu tuma picha apaModel number ni SM-A105F
Kwenye SIM card status inaonesha hiviView attachment 1946792
Tatizo la android mtu anaweza kubadili hio model kupitia software. Kwa Samsung mpaka uingie download mode ndio unajua exactly modelModel number ni SM-A105F
Kwenye SIM card status inaonesha hiviView attachment 1946792
Kwel I mdhee ila kwa shida ya net inakua sio tatzo sana endepo utajua ni pass au NGTatizo la android mtu anaweza kubadili hio model kupitia software. Kwa Samsung mpaka uingie download mode ndio unajua exactly model
Setting. Reset network & network carrier change to automatic to manualHii hapa mkuuView attachment 1946815