Chama la wanaaina gani au ni lile lile chama la wana![]()





acheni zenu buana kumshushua tecno kila siku.Simu yangu inaandika connected to other device successfully wakati sijaweka waya wa USB.
Nifanye nini na maandishi haya yanajirudia kila mara?
Kweli kabisa mkuu hasa hizi iphone 11 ni za ovyo sanaAina gani ya simu boss? Kama ni iPhone ni kawaida yake simu za hovyo sana zile







