Msaada: Sijaweka USB lakini simu inaonyesha nipo connected

mbwadinho

Senior Member
Jun 29, 2016
180
102
Simu yangu inaandika connected to other device successfully wakati sijaweka waya wa USB.

Nifanye nini na maandishi haya yanajirudia kila mara?
 
Safisha safisha hapo sehemu ya USB huenda iliingia maji kwahiyo hiyo short inatengeneza connection ambayo haipo, otherwise uipeleke kwa fundi akague vipini vyake uenda vimegusana.
 
Connection siyo USB pekee ila kwakua umeishuku USB (pengine ndiyo inavyoonesha) hiyo inamaanisha kuna shoti inatokea kwenye pini za USB na chaji.

Kama una mtoto mdogo pengine aliipeleka simu mdomoni na mate yake yamepigisha shoti kwenye USB au kuna maji maji yaliingia.
 
Nilkujaga kujua tecno sio simu, siku moja mshkaji wangu alikua na hyo simu kuna muda anakuta kuna Application zmeongezeka hata kama hajadownload na hayuko connected na internet kusema imekua autodownloaded.
 
Back
Top Bottom