Habari wanajanvi,kuna hali naiona kama sio ya kawaida kwangu,kwenye mikono napata vipele kama vile vya baridi alafu vinakua kama vinatoa vidude vyeupe,nimeenda hospital kupima magonjwa yote majibu yametoka sina shida nipo sawa,labda inaweza kua ni ugonjwa wa ngozi,, msaada kwa anaeweza kuutambua


