Mkuu
jmura, swali lako ni fupi mno, fafanua. Unahitaji shule kwa ajili ya kumpeleka mtoto au unataka kutoa msaada? Maana kati ya hizo shule kuna zilizo bora kuliko nyingine kwa kurekebisha watoto na nyingine ziko hoi kiasi kwamba zinahitaji msaada wa wadau kama wewe. Zote zina mchango mkubwa katika kuijenga jamii iliyo bora. Ukijibu hili utapata majibu sahihi kulingana na mahitaji yako. Asante.