Twilumba
Platinum Member
- Dec 5, 2010
- 13,476
- 16,188
Habari zenu wakuu,
Mara nyingi naamini hapa JF ni jukwaa kuu lenye kuweza kusaidia kimawazo baadhi ya mambo.
Kwa minajiri hiyo ninaomba mwenye kujua shule nzuri za sekondari ya wavulana au mchanganyiko za bweni zilizo mikoa ya Arusha au Kilimanjaro.
Uzuri ninaozungumzia ni kitaaluma na malezi lkn pia ada isiwe kubwaaaaa kama yale mashule mengine.
Naomba kuwasilisha kwa ushauri na msaada kwenye hili.
Asanteni.