advocate kiza
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 259
- 90
- Thread starter
- #21
Ada Bei Gani
Ada Bei Gani
Eagle high school.na loyola..Naombeni mnisaidie shule zenye PMC za binafsi
Ukiwa na C tatu unaruhusiwa kusoma A level, na unaruhusiwa kusoma comb yeyote cha msingi tu usiwe na F kwenye somo lolote kt comb hiyo.Kwahyo kama mtu ana C za Hist,Geo,Kiswa anaweza soma PCM au PCB au lazm hizo C tatu ziwe za comb yake?
Sent using Jamii Forums mobile app