Msaada Shule Binafsi Za A-level

Msaada Shule Binafsi Za A-level

advocate kiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2019
Posts
259
Reaction score
90
Habarini Wakuu, Wakati Ndugu Zetu(Dada, Kaka,majamaa,wadogo Zetu) Wamepokea Matokeo Ya Kidato Cha Nne, Ni Dhahiri Shairi Kwamba Sio Wote Watakao Pata Nafasi Kwa Shule Za Serikali Wapo Watakao Kosa, Nimeanzisha Uzi Huu Kujulishana Shule Binafsi Zenye Kujali Kipato Cha MTanzania,chini Ya Milion Moja Siyo Mbaya Pia Ukiicha Na Mawasiliano Ili Unufaishe Wengine. Ahsanten
 
Hv hzo shule wanachukuaga hata four zilizo balance comb??
 
shule za jeshi mfano jitegemee,makongo kizuka airwing kwa masom ya art wako vzur na ada zao ziko chini sana pia hata 3000 wao wanapokea yaani unalipa kidogokidogo nmesoma huko lakin kwa sayansi nsidanganye fanya utafiti
 
Hv wakuu,, kama mtu alirudia masomo saba kwa shule binafsi na akafaulu kwa ufaulu wa Two ya 19 ,ni anaweza akachaguliwa kuingia katika shule za serikali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahyo kama mtu ana C za Hist,Geo,Kiswa anaweza soma PCM au PCB au lazm hizo C tatu ziwe za comb yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kila Shule Ina Vijisheria Vyake Mfano Shule Zingine Zinataka C Tatu Tu Hata Kama The Rest Subjects Una Fs, Shule Zingine Inatakiwa Hizo C Tatu Ziwe Product Ya Combination
 
shule za jeshi mfano jitegemee,makongo kizuka airwing kwa masom ya art wako vzur na ada zao ziko chini sana pia hata 3000 wao wanapokea yaani unalipa kidogokidogo nmesoma huko lakin kwa sayansi nsidanganye fanya utafiti
Mkuu Thanks For Your Commitment, Ada Ni Kiasi Gani, Kwa Day Na Hostel, Kwa Shule Hizo?
 
range ya ada ni 980k-1.3M inategemea lkn hostel napo sikushauri maana anaweza akapata taaaabu sana tfu za kijedah lkn kama una ndugu ni heri akawa day scholar ila hostel pekee ni 1.4-1.5 M
 
Habari zenu,
Kwanza kabisa kama kichwa kijielezavyo hapo juu ,leo nimemaua kuzungumizia kuhusu wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka 2018 na wanatarajia kujiunga na vyuo mbalimbali kwa masomo mbalimbali mwaka wa masomo 2019.

Nitazungumzia mada hii muhimu kwa kugusa maeneo yafuatayo,
1.SEKTA YA AFYA
2.SEKTA YA KILIMO NA MIFUGO
3.SEKTA YA ELIMU
4.SEKTA YA ENGINEERING
5.SEKTA YA SHERIA NA BIASHARA

1.KOZI ZA AFYA
Afya ni moja kati ya sekta zinazoajiri kwa wingi sana vijana wengi kutokana na kutokuwepo kwa watalam wa kutosha kufiti nafasi hii adimu ya kuhudumia watu.
katika sekta hii inajumuisha kozi zifuatazo,
-nursing
-medicine
-pharmacy
-laboratory
Kutokana na ufaulu wa matokeo ya kidato cha nne ,Taasisi muhimu inayojishughulisha na udahili wa wanafunzi katika ngazi hii ya cheti na diploma wametoa sifa ambazo zitakufanya na kukuongoza katika kufanya maamuzi yako.
Ili uweze kudahiliwa(kuchaguliwa ktk chuo chochote cha afya tanzania ktk ngazi ya diploma na cheti kwa kozi tajwa hapo juu inabidi uwe umesoma masomo yafuatayo;
-physics
-chemistry
-biology
Masomo tajwa hapo juu ni lazima uyasome kama unataka kujiunga na kozi za afya.Pili inabidi uwe umefaulu kwa viwango vifuatavyo,
Kama una -physics-D,-chemistry-D,-biology-D(una sifa za kujiunga na cheti)
Kama una -physics-D,-chemistry-C,-biology-C(una sifa za kujiunga na Diploma)
Kutokana na vigezo tajwa hapo juu unaweza kuomba chuo chochote kile tanzania na nakuhakikishia 100% utachaguliwa kujiunga.
NOTE:KAMA HAUNA VIGEZO TAJWA HAPO JUU USIJISUMBUE KWANI HUTACHAGULIWA.

NATIONAL EXAMINATION RESULT 2018
KIJANA WANGU KAMA UMEMALIZA FORM FOUR NA MAMBO SI MAZURI BOFYA HAPA UANGALIE CHUO BORA KWA CERTIFICATE PAMOJA NA COURSE NZURI UTUME MAOMBI UKASOME

LIST YA VYUO VYA DIPLOMA NA CERTIFICATE VINAVYOTAMBULIWA NA NACTE NI HIVI HAPA

WALE WA MAMBO YA UTAWALA , BIASHARA, SHERIA, MAENDELEO YA JAMII, RASILIMALI WATU, UTALIII NA MAMBO MENGINE SAWA NA HAYO WAPITE HAPA

WALE VIJANA WA FORM FOUR WANAOTAKA COURSE ZA KILIMO , COMPUTER NA NYINGINEZO ZA SCIENCE KWA CERTIFICATE PITIA HAPA UPATE MWONGOZO

WALE WANAOTAKA COURSE ZA AFYA PITIA HAPA UPATE MWONGOZO NA UCHAGUE COURSE NZURI NZURI ZA AFYA

VIGEZO VYA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2019 NI HIVI HAPA PITIA HAPA UPONE MAPEMA
 
shule za jeshi mfano jitegemee,makongo kizuka airwing kwa masom ya art wako vzur na ada zao ziko chini sana pia hata 3000 wao wanapokea yaani unalipa kidogokidogo nmesoma huko lakin kwa sayansi nsidanganye fanya utafiti
Mkuu Ada Za Airwing,makongo, Ni Kiasi Gani?
 
Back
Top Bottom