Msaada, Sheria ya Ardhi

anonimuz

Senior Member
Nov 5, 2007
102
71
Habari wana JF,

Natumai mpo vizuri wakati huu wa "mapumziko". Nina swali kuhusu sheria za kuendeleza ardhi. Tunafahamu kuwa mara nyingi hati ya umiliki wa ardhi inapotolewa, mmiliki hupewa muda maalumu (mara nyingi miaka mitatu) awe ameendeleza ardhi hiyo. Swali langu ni: ni wakati gani ardhi huhesabiwa kuwa "imeendelezwa"? How do we define "kuendelezwa"? What qualifies kama ardhi "iliyoendelezwa"

Mfano: nikipewa kiwanja nikakifyeka tu, je hapo nahesabiwa kuwa nimekiendeleza?
nikipewa kiwanja nikaweka foundation ya fence tu, hapo kinahesabiwa kuwa kimeendelezwa?

Hapa naongelea zaidi residential plots. What are the minimum criteria for a residential plot to be considered as "imeendelezwa". Nitashukuru sana kama nitapata majibu sahihi. Kama unaweza kuweka vipengele vya sheria hapa tukavisoma, itakua vyema zaidi. Sijapitia threads zote kabla ya kuuliza hili swali. Hivyo, kama lilishaulizwa kabla mniwie radhi. You can simply direct me to a relevant thread. Asanteni
 
bofya hapa kuna vitabu vya aina hiyo vinauzwa SHERIA TANZANIA
 
Back
Top Bottom