Office 365 haina crack, ni office hii hii ya kawaida sema inakuwa na benefits mbalimbali za online.
Njia rahisi za kupata ni
1. Uwe na email ya chuo ya marekani
2. Mtu akupigie pande kwenye kampuni.
Nilipata yangu kwa 10,000 toka 2017 nafkiri mpaka Leo.
Cheki ebay zimejaa kibao.