Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,144
- 3,848
Flash yangu nahisi ime-corrupt, kila nikifungua inahitaji niiformat, nilijaribu kuformat kwa njia ya kawaida ikaniletea ujumbe "windows was unable to complete format" .
Nimejitahidi kuiformat kwa njia mbalimbali yaani commandline na storage format tools imeshindikana, kama kuna anayejua solutuion ya hili tatizo kwa njia yoyote atiririke hapa ili hata watakaopitia huu uzi wajifunze, najua wengi wamewahi kukumbwa na hili tatizo.