Wanawake wanapenda sana kupendwa, kudekezwa, kujaliwa na hawapendi kudanganywa. Mfano kama anafanya kazi basi kila mara umuulize vipi habari za kazi ikifika mchana umuulize umekula, kama hajala basi waweza mtumia lunch box, ikifika jioni kama unampitia mwambie 30minutes before umfuate hata kama anapanda daladala basi mwambie pole sana hii yote ni kumbembeleza tu. Ushauri wangu lakini
Thanks The Boss i will take that piece of adviceMuoneshe kuwa unamjali sana....
Mpe attention kila wakati anapotaka kuongea na wewe..
Mheshimu hasa mbele za watu.......
Jieupushe na maneno ya kuudhi.......
Mpe space yake pia.....usimgande kutwa......
Dharau maneno ya watu kuhusu mkeo,kama yapo.....
Mfanye awe best friend wako .
Jali ushauri wake....
Heshimu ndugu zake,na marafiki zake.....
Jitahidi pia kuwa na furaha mda mwingi ili apende kuwa na wewe....
Mtoe out sana,
mfanyie shpopping sana...
Unapomkosea jifunze kumuomba msamaha hata kwa vitendo,kama kwa maneno huwezi..
Zijue ndoto zake za maisha na umsaidie kuzifanikisha....
Na mwisho kumbuka life is about giving each other beautifell memories na sio maudhi......
Wanawake wanapenda sana kupendwa, kudekezwa, kujaliwa na hawapendi kudanganywa. Mfano kama anafanya kazi basi kila mara umuulize vipi habari za kazi ikifika mchana umuulize umekula, kama hajala basi waweza mtumia lunch box, ikifika jioni kama unampitia mwambie 30minutes before umfuate hata kama anapanda daladala basi mwambie pole sana hii yote ni kumbembeleza tu. Ushauri wangu lakini
sure imekaa kiuchumba zaidi naongelea ndoa yenye vyeti halali
Muoneshe kuwa unamjali sana....

hapana hii thread niacha open nadhani kuna mengi zaidi ya kuongezwa hasa kutoka kwa kinamama wenyewe naombeni msaada wanawake mnapenda nn nimfanyie my wife wangu?Afadhali umelielewa hilo kamanda. Ushauri unaokufaa kiasi kwamba nimekosa cha kuongeza ni huu hapa. Isipokuwa hizo kwenye red hazina mashiko sana na wala si lazima uzifanye ukishafanya hayo mengine yooooote.
Sasa funga sredi yako twende kwenye lile jukwaa la magriiti thinkaz tukamjadili mchumba mporwaji wa Dr. Slaa na nyumba ndogo lukuki za JK.....
:welcome::welcome::welcome:
Wadau nataka kuifanya ndoa yangu iwe na furaha mno. Je wanawake wanapenda vitu gani nimfanyie my wife wangu ili awe na furaha muda wote na kuepusha migogoro kwenye ndoa naomba ushauri na mawazo na nitaufanyia kazi. Sema chochote ambacho una uhakika wanawake wanapenda kufanyiwa ili nami nikifanye please. Wanawake naomba mnisaidie serious nataka mabadiliko chanya
Wanawake wanapenda sana kupendwa, kudekezwa, kujaliwa na hawapendi kudanganywa. Mfano kama anafanya kazi basi kila mara umuulize vipi habari za kazi ikifika mchana umuulize umekula, kama hajala basi waweza mtumia lunch box, ikifika jioni kama unampitia mwambie 30minutes before umfuate hata kama anapanda daladala basi mwambie pole sana hii yote ni kumbembeleza tu. Ushauri wangu lakini
Muoneshe kuwa unamjali sana....
Mpe attention kila wakati anapotaka kuongea na wewe..
Mheshimu hasa mbele za watu.......
Jieupushe na maneno ya kuudhi.......
Mpe space yake pia.....usimgande kutwa......
Dharau maneno ya watu kuhusu mkeo,kama yapo.....
Mfanye awe best friend wako .
Jali ushauri wake....
Heshimu ndugu zake,na marafiki zake.....
Jitahidi pia kuwa na furaha mda mwingi ili apende kuwa na wewe....
Mtoe out sana,
mfanyie shpopping sana...
Unapomkosea jifunze kumuomba msamaha hata kwa vitendo,kama kwa maneno huwezi..
Zijue ndoto zake za maisha na umsaidie kuzifanikisha....
Na mwisho kumbuka life is about giving each other beautifell memories na sio maudhi......
True,wanawake wanatofautiana...hawatosheki.... amsome amfaham vema....aje kipi afanye lini na wapi!!:lol:
mfanyie vi suprise vidogo vidogo,kulingana na uwezo wako.Au hata muandikie message za mapenzi muekee chini ya mto,mpelekee viji lunch kazini mtume mtu maalum wa kumpelekea,akishakupata hiyo lunch,muulize kama ameipenda kwa lugha ya mapenzi.ukiamka tu asubuhi,neno la kwanza mwaimbie jinsi gani unavyompenda.ikifika week end,umwambie leo nataka kukutoa out,just me and you.na kama una uwezo wa kukodi limouzine,unakodi kwa ajili ya kumtoa out,[bongo yapo]na kama huo uwezo huna haina neno.mnunulie chupi nzuri {zawadi kama hiyo wanawake wengi tunaipenda}mwambie kwa lugha ya mapenzi aivae ili umuone.vilevile ikifika anniversary yenu,isipite hivihivi fanya suprise ndogo yoyote ile,kama uwezo unakuruhusu,siku hiyo safiri nae,kaa nae hoteli nzuri,ukweli ata enjoy sana tu,baada ya kufanya yote hayo,usisahau kutupa matokeo humu j.f,jamani wanaume muwe hivyo,sio lazima haya niliyoyasema lakini wapeni
attention za kimahaba wake zenu.
mmmh,sina usemi kwa kweli.juu ya yote hayo niliyosema,mimi ni mtu ambae sina bahatiVipi Kisukari nikutumie CV yangu au tayari jimbo lina mgombea?