hii ni hatari lakin pia 24 hrs nayo naiekewa sanaPrison Break
Agents of shield
Banshee
Tunaendelea na bombardier[emoji3][emoji3][emoji3]
kama ya siasa basi ni house of cards na kama unataka ya ujasusi basi ni THE AMERICANS haina mfano wake aisee
Mleta mada naomba Homeland season 6&7
Nilijua tu Brody hajafa bado naicheki nipo season ya 6 episode ya 4Season 7 Bado haijatoka, season six ndo imetoka this january. Kuipata ingia torrent utaipata. Majid Javadi aliyekuwa anakaimu nafasi ya ujenerali wa pakistan baada ya Danish akbar kuuliwa na brody amerudi.
Tumia hii torrent site, www.thepiratebay.org