Msaada serial keys za spss 16.

kibhopile

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2010
Posts
1,514
Reaction score
767
MKO POA WAKUU?
Samahani ninahitaji kuinstall spss 16 kwenye mac yangu. spss nimeidownload torrent na imekuja na keygen lakini keygen hiyo inafanya kwa Windows tu. so i need keys kama kuna yeyote ako nazo.

View attachment 144890

Sorry mkuu,natoka kidogo nje ya mada yako,but nami nhtaji iyo SPSS sasa nielekeze iyo Torrent ni nini nami niipakue then nitupie nami link kama inawezekana,coz naihtaji sana iyo mambo!
 
Sorry mkuu,natoka kidogo nje ya mada yako,but nami nhtaji iyo SPSS sasa nielekeze iyo Torrent ni nini nami niipakue then nitupie nami link kama inawezekana,coz naihtaji sana iyo mambo!
sawa mkuu, kuna torrent site mfano Torrentroom - best torrent free download site, kickass.com etc hii ndio website jalala unapoweza kudownload vitu kam movies, software, music etc. lakini unahitaji kuwa na download manager yake katika pc yako mfano utorrent, bitcomet, vuze etc sasa hii download manager ndio itakuwa inadownload files unapokuwa umesearch kule kwe site ya torrent.com. kwa kuanzia nenda google kasearch utorrent downloader kwanza afu install katika computer yako then urudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…