KnucleBreaker
Member
- Jan 10, 2022
- 23
- 29
EB25 Mbezi
kuna sockets za kumwaga kila kona
kama mtu wa totoz, zipo za kumwaga ukishamaliza 'coding'
thank me later
EB25 Mbezi
kuna sockets za kumwaga kila kona
kama mtu wa totoz, zipo za kumwaga ukishamaliza 'coding'
thank me later
Mbezi Juu mbele ya MassanaIpo mbezi sehemu gani hii?
Ona sasa ushambadilishia msela malengo.EB25 Mbezi
kuna sockets za kumwaga kila kona
kama mtu wa totoz, zipo za kumwaga ukishamaliza 'coding'
thank me later
Mkuu si wata block hizo site za porn..au wasiwasi wako nini?Serikali yetu itutengenezee techhub za kutosha ambapo vijana wanaweza kwenda na kupata free access ya space, WiFi, tools na mentorship.. wakenya na south Afrika wako mbali sana katika technolojia kwasbb hyo... Lkn sasa msije mkatumia hyo fursa kwenda kishusha pirate movie na porno.. shenzzz
Ok, thanksMbezi Juu mbele ya Massana
Haahaaa. Totoz sio distraction hio...EB25 Mbezi
kuna sockets za kumwaga kila kona
kama mtu wa totoz, zipo za kumwaga ukishamaliza 'coding'
thank me later
Mie niko mji mmoja kanda ya pwani huku mara nyingi usiku nakua pembeni ya bahari ya hindi upepo mwanana kabisa kwenye mushroom. Af huo mji hauna mengi yaan naweza kaa hadi saa saba au nane usiku bila bugdha ukitoa tu hz siku za weekendHabari wakuu..
Naomba kufahamishwa maeneo pulic, tulivu na salama ndani ya Dar, ambayo mtu unaweza ukaenda, ukaplug laptop yako na ukafanya kazi zako bila bugudha yoyote. Iwe kucode, kuandika kitabu, etc.
Popote pale iwe garden, lounge, bar, café, nk.
Nawasilisha.
Lodge...
Msemo Hotel Mtwara au?? 🤣🤣🤣Mie niko mji mmoja kanda ya pwani huku mara nyingi usiku nakua pembeni ya bahari ya hindi upepo mwanana kabisa kwenye mushroom. Af huo mji hauna mengi yaan naweza kaa hadi saa saba au nane usiku bila bugdha ukitoa tu hz siku za weekend