Bei zao mkuuBook DaVinco Furnished Apartments, zipo SUA Main Campus.
Unaweza kufanya booking Online airbnb.com/h/davinco au wapigie kwa namba zao 0737397700
View attachment 1509006View attachment 1509008
Hapo nyuma ya Msamvu kuna siku niliingia Moro kutokea Dom mida ya saa 5 usiku nikakuta zote zimejaa na kuna jamaa wanashika vyumba na kuuza kwa bei ya juu,kwakuwa sikuwa mwenyeji ilinibidi nipitilize nikaenda kulala Chalinze...Msamvu kwa nyuma ulizia Gwami hotel ilipo hapo utakuta lodge nyingi nyingi tu...ila hapo Gwami room 50K
Gwami wanaishi waturuki jengo zima.Msamvu kwa nyuma ulizia Gwami hotel ilipo hapo utakuta lodge nyingi nyingi tu...ila hapo Gwami room 50K
Pole sana mkuu.Hapo nyuma ya Msamvu kuna siku niliingia Moro kutokea Dom mida ya saa 5 usiku nikakuta zote zimejaa na kuna jamaa wanashika vyumba na kuuza kwa bei ya juu,kwakuwa sikuwa mwenyeji ilinibidi nipitilize nikaenda kulala Chalinze...
Zipo mpaka za 15kNi zaidi ya 30 zile
Yaani sehemu ya kulala 25,000-30,000/- ndio unaanzishia uzi acha sifa za kibwegeWasalamu wakuu.
Kesho naenda Morogoro, wenyeji wa huko au wenye ujuzi wa sehemu nzuri ya kulala kwa bajeti ya 25,000-30,000 na sehemu tulivu
Tujuzane.
Yawezekana ni mgeni hajawahi kufika mkuu so anahitaji mwongozo na kwa Moro ukiwa mgeni lodge ya 15k unaweza lipishwa mpaka 30k.😅😅😅Yaani sehemu ya kulala 25,000-30,000/- ndio unaanzishia uzi acha sifa za kibwege
Morogoro hawana uhuni huo bana! Huyu mwamba kaamua ku show off tuYawezekana ni mgeni hajawahi kufika mkuu so anahitaji mwongozo na kwa Moro ukiwa mgeni lodge ya 15k unaweza lipishwa mpaka 30k.[emoji28][emoji28][emoji28]
Najua, nillimaanisha iidadi nadhani hatukuelewana tangu mwanzoZipo mpaka za 15k
How?Gwami wanaishi waturuki jengo zima.
How vipi tena😅😅How?
Unapendelea burudani gani?Wasalamu wakuu.
Kesho naenda Morogoro, wenyeji wa huko au wenye ujuzi wa sehemu nzuri ya kulala kwa bajeti ya 25,000-30,000 na sehemu tulivu
Tujuzane.
Me nilikuwa pale last year Nov. Maybe kwa sasa ndiyo limechukuliwaHow vipi tena😅😅
Wamekodi jengo zima lile ni muda sasa
Nadhani nibmwaka huu miezi ya mwanzoni maana wako pale ni muda kidogo.Me nilikuwa pale last year Nov. Maybe kwa sasa ndiyo limechukuliwa
SURE WANAONDOKA MWEZI WA TISA.Gwami wanaishi waturuki jengo zima.
Hujatembea ww njoo Arusha Makao mapya na kaloleni zote ni guestMsamvu kwa nyuma ulizia Gwami hotel ilipo hapo utakuta lodge nyingi nyingi tu...ila hapo Gwami room 50K
Kwani hapa kulikuwa na mashindano ya kutembea?Hujatembea ww njoo Arusha Makao mapya na kaloleni zote ni guest
Dogo mambo[emoji3]Kwani hapa kulikuwa na mashindano ya kutembea?