MSAADA:SEHEMU NZURI KUJIFUNZA KICHINA

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
2,307
Reaction score
3,447
Habari wakuu ningependa kujuzwa sehemu nzuri inayofundisha lugha ya kichina maeneo ya Moshi au Arusha... Au Dar es salaam kama ikiwa rahisi
 
Habari wakuu ningependa kujuzwa sehemu nzuri inayofundisha lugha ya kichina maeneo ya Moshi au Arusha... Au Dar es salaam kama ikiwa rahisi
Habari mkuu. Naitwa Peter Munanka unaweza nipata Whatsapp (+8615928077274) au email: youngmuna338@yahoo.com
Nimeishi nnchi kwa muda wa miaka 4 kama mwanafunzi wa engineering na Chinese
Kwa sasa nipo jijini Chengdu China. Nlikuwa nna mpango wa kurudi Tanzania mwisho wa huu mwezi wa 7. Nna certificate HSK 3 ya Chinese (Mandarin) na nlikuwa na mpango wa kuanzisha training school kufundisha Kichina.
 
Usitafute visingizio sasa.Good luck!View attachment 1095979
Hawa ni gharama , mimi ntapunguza bei. Ntarudi Tanzania mwishi wa mwezi huu wa 7. Nna digital certificate HSK level 3.
nmeishi China kwa miaka 4 kama mwanafunzi wa lugha na Civil engineering. Karibu. Kwa Whatsapp nicheki +8615928077274. Tena ikiwezekana kama haupo mbali na mjini ntakufata ulipo.
 
Poa poa mkuu
 
Nimekucheki mkuu
 
Sikupati watsup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…