MSAADA SECOND ROUND

MSAADA SECOND ROUND

AfricaUnited

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2010
Posts
2,440
Reaction score
1,409
NDUGU ZANGUNI ,NAOMBA MSAADA JINSIYA KUAPPLY SECOND ROUND ,JE TUNAINGIA KWENYE CHUO HUSIKA KWA KU LOG IN KAMA MARA YAKWANA AU KUNAJINSI MPPYA..... PIA NIMEINGIA VYUO VIMEFUNGA ADMISSION ,WAKATI TCU WANASEMA WAMEFUNGUA ADMISSION MPYA.
MSAADA WA HARAKA JAMANI MAANA TAR 10 MWISHO
 
Angalia chuo kikuu arusha(arusha university fomu ipo ..download uapply mkuu..
 
Back
Top Bottom