kama ni memory card kama zile za camera(zinakuwa ndefu kidogo) huwa kwa pembeni hivi kuna kuwa na kama ki swaitch hivi kidogo kina mshale unaelekeza upande wa lock na unlock so unakisogeza tu hiko...
kama ni memory card hizi ndogo kabisa bila shaka utakuwa unatumia na ile adapter yake ...kwenye hiyo adapter yake nazo pia zinakuaga na kiswitch kama hicho hapo chini..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.