Hamjambo wanaJF!!
Naomba msaada. Nina Tecno Phantom A+ ambayo ni rooted. Nawezaje kuifanya SD Card ikafanya kazi ya RAM? Ni 32 GB. Natanguliza Shukurani.
Chief, bahati mbaya ni class 4
RAM zinatengenezwa kwa njia nyingine sio kama SD Card, na pia ziko much much faster than SD Cards, nisingekushauri kutumia SD card yako kama RAM simply because mara nyingi hua zinafanya iende slow, alafu unaforce hardware ambayo inahusika na permanent storage kua kama ya temporary storage... kuna uwezekano pia wa kuharibu simu yako ukapata tabu tena kuifix