Zeddicus Zu'l Zorander
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 804
- 956
Wakuu laptop yangu imeanguka kutoka juu ya meza , lakini bahati nzuri inawaka vizuri ingawa screen ndiyo imepasuka.
Kuna wadau wameniambia natakiwa kununua screen mpya hivyo wahusika wa hizi mambo mnijulishe gharama yake ni kiasi gani?
Ukubwa wa screen ni inch 15.7".
Kuna wadau wameniambia natakiwa kununua screen mpya hivyo wahusika wa hizi mambo mnijulishe gharama yake ni kiasi gani?
Ukubwa wa screen ni inch 15.7".