Msaada Sauti yangu imekwama

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Nov 21, 2015
3,079
2,152
Ni siku ya nne leo sauti yangu imekauka haitoki na sina tatizo la kifua wala mafua
Sikuimba wala sikupayuka

Msaada tiba wakuu
 
Back
Top Bottom