Mkuu kwa sattelite meter finder si huwa tunazileta ofisini kwetu ila tupo Dar es salaam. Tunafanya kazi na makampuni mengi tuu hapa Tanzania na Nje ya Tanzania kwa hapo Arusha tunatuma kwa basi la Kilimanjaro ama kwa Ndege. Compass zipo tunazo kwa stock hizo satelite meter finder kwa sasa kwa stock zimekwisha ila ukiwa upo serious twaweza kukuagizia na inaweza chukua 10 to 21 working days, hebu lete specifications za machines hizo unazotaka.
Kwa mahitaji mengine waweza tembelea website yetu though bado inafanyiwa marekebisho but kwa kiasi fulani ipo hewani
Www.beqitinc.co.tz au twaweza wasiliana kwa mobile 0789680000, email
steven.robert@beqitinc.co.tz muda wowote ule mkuu
kajiti