MSAADA SAMSUNG S6 KUSHINDWA KUA APTDATE

MSAADA SAMSUNG S6 KUSHINDWA KUA APTDATE

pascasius kaiser

New Member
Joined
May 22, 2018
Posts
3
Reaction score
0
samahnn samsung yangu s6 inashindwa kuampdate kutkoka vesion moja kwenda nyingine jambo ambalo linaifanya iwe very slow na ukienda setting kwenye software update inashindwa kufungua kuleta ile menyu ya ku apdate .
 
😂😂😂Rudisha simu ya watu au mpe mtu akuandikie vyema, mods futa huu uzi
 
samahnn samsung yangu s6 inashindwa kuampdate kutkoka vesion moja kwenda nyingine jambo ambalo linaifanya iwe very slow na ukienda setting kwenye software update inashindwa kufungua kuleta ile menyu ya ku apdate .
Kama update ipo kuna option ya ku update kupitia wi-fi only au mobile data chagua mobile data anzia hapo kwanza ila uwe na bando atlest 2gb.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
thanx so nisistumie ila ya kawaida ya about divice- alaf softiwere update- ambayo aifunguki .(ambayo softiwere update ndio haifuki kabisa)
 
Fanya update manually

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Back
Top Bottom