Msaada samsung s5 kioo hakioneshi(black screen)

Ninaweza nikabadili IC na bado simu ikasumbua kwenye display kutoonesha kitu while nikitouch nasikia ikifanya kazi na pia vile vile simu kutopata moto?
Kama tatizo la hyo simu limeletwa na ic husika hapo ikibadilishwa mambo yatakuwa sawa . Sema sasa ni mpaka apatikane mtu madhubuti na makini kwenye hilo
 
Kama tatizo la hyo simu limeletwa na ic husika hapo ikibadilishwa mambo yatakuwa sawa . Sema sasa ni mpaka apatikane mtu madhubuti na makini kwenye hilo
Ni kweli mkuu, kuna forum huko nje nao wamesema ni IC ikiwa imechoka ndio inakuwa hivyo. Sasa Mkuu kuna fundi nimempa simu na amesema ameenda kupeleka kwa fundi mwenzake na niondoke shaka, leo jioni ndo naenda kuifata. Nitafurahi saaana ikipona aiseee.
 
Ok.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…