Wakuu poleni na majukumu
Shida ni kwamba natumia galaxy s4 gt i9505 jana nikawa najaribu kuingiza apps za kuroot simu yangu ila sikufanikiwa sasa leo asubuh naamka na sim ilikua on nakuta volume inajiongeza na kushuka yenyew nika restart.Hapo ndo balaa likaanza kuwaka ikawa kama mpya yani inataka kuisajil na google account nikitaka kusajili inataka wi-fi na sio data ya internet nikishusha pazia ili niende setting na kufungua data alishuki nikasema niifanyie factory reset lakin bado ni vilevile nashindwa kuelewa hapa nimeazima simu ili niulize kunani hapo? Shukrani naomba mchango wenu.