inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 657
- 733
wadau nina simu samsung s advancemwanzini ilikuwa inafanya kazi vizuri tu.mara ikaanza kuingiza chaji kwa shida unaweza chomeka chaji.mara inachaji mara haichaji.pia ikawa inatoa taarifa ya uongo,unaweza ukawa umechomoa chaji lakini inaonyesha bado inachaji au betri chaji ikawa inakaribia kuisha lakini simu ikawa inaonyesha chaji iko full.
nikapeleka kwa fundi,akasema charging system ina shida akaiibadilisha,sahizi haingizi chaji kabisa.
wadau naombeni ushauri wa kitaalaam
nikapeleka kwa fundi,akasema charging system ina shida akaiibadilisha,sahizi haingizi chaji kabisa.
wadau naombeni ushauri wa kitaalaam