Kwa kifupi SM-G900 model kuna kikampuni ambacho sio samsung uko uko korea kinazitengeneza, ifungue nyuma ya battery ka hakuna neno approved jua ni clone na usilogwe ukaiformat mara kwa mara au kuiflash itakua ndio mwisho wake.Wakuu nataka kununua hii simu jamaa katoka nayo South Africa hivi karibuni nimetoa betry imeandikwa made by Sumsung badala ya kutaja viwanda ya SAMSUNG vya Korea, Vietnam na China. sasa najiuliza inaweza kuwa Clone? Model yake ni SAMSUNG S5 SM-G900H na Android 4.4.2 (Kitkat) naomba mwenye Uelewa wa hii simu tafadhari pia nimeona na ni nyepesi betry yake ni ndefu 2800Amh.
Kunana neno approved hapa na 32GB pembeniKwa kifupi SM-G900 model kuna kikampuni ambacho sio samsung uko uko korea kinazitengeneza, ifungue nyuma ya battery ka hakuna neno approved jua ni clone na usilogwe ukaiformat mara kwa mara au kuiflash itakua ndio mwisho wake.
Wakuu nataka kununua hii simu jamaa katoka nayo South Africa hivi karibuni nimetoa betry imeandikwa made by Sumsung badala ya kutaja viwanda ya SAMSUNG vya Korea, Vietnam na China. sasa najiuliza inaweza kuwa Clone? Model yake ni SAMSUNG S5 SM-G900H na Android 4.4.2 (Kitkat) naomba mwenye Uelewa wa hii simu tafadhari pia nimeona na ni nyepesi betry yake ni ndefu 2800Amh.
Sio clone io!Kunana neno approved hapa na 32GB pembeni
clone yake ninayo, katika kutafuta tofauti ya clone na original, nlikuta kila kitu ni sawa kioo super amoled kitu ambacho uwa sio kawaida, tofauti nikakuta hakuna neno approved na pia ina maandishi machache na yako bolded, na network bands ndio ziko tofauti na originalIt's difficult to know japo kioo naona ni bora na Uwezo wake wa Camera ni mkubwa
kama huna uzoefu acha tu kununua subilia s7 ikitoka machi ununueWakuu nataka kununua hii simu jamaa katoka nayo South Africa hivi karibuni nimetoa betry imeandikwa made by Sumsung badala ya kutaja viwanda ya SAMSUNG vya Korea, Vietnam na China. sasa najiuliza inaweza kuwa Clone? Model yake ni SAMSUNG S5 SM-G900H na Android 4.4.2 (Kitkat) naomba mwenye Uelewa wa hii simu tafadhari pia nimeona na ni nyepesi betry yake ni ndefu 2800Amh.