Simu yangu Samsung Galaxy S2 inaweza kupiga picha vizuri lakini ninapopiga haionyeshi preview ya hiyo picha ninayotaka kupiga. inakuwa giza tu. Mwenye kujua namna ya kutatua hili tatizo naomba msaada tafadhari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.