Msaada Samsung Galaxy Note I

Msaada Samsung Galaxy Note I

Gurta

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2010
Posts
2,233
Reaction score
537
Simu: Samsung Galaxy Note
Model: GT N7000
Android ver 4.1.2
Tatizo: Baada ya kuifanyia restore kama mwezi mmoja ulopita siwezi ku-access mobile data pale napotaka kutumia Google apps and services kama Gmail, Store, Samsung apps etc au hata ku-update weather widget. Tatizo linaweza likawa ni nini hapa as naweza ku-access hizi services kwa kutumia WI-FI? Kuna settings mahala naweza kubadili?

Thanking in advance.
 
Mkuu possibly kabisa ulivorestore umefuta setting za internet tengeneza upya manual
 
Mkuu possibly kabisa ulivorestore umefuta setting za internet tengeneza upya manual

Internet napata kwenye Opera, Whatsapp na hata app ya Twitter. Shida ni kwenye zile native apps kama Store, Gmail (naweza kupata kwenye Opera lakini sio kwenye ile standalone app), Samsung Apps, Maps and the like. So it is my thinking that the settings is OK. Kwenye hizi zenye shida nikitumia Wi-Fi nazipata bila wasi, tatizo ni kwa kutumia mobile data tu.
 
Mkuu nikitumia access point yenye proxy napata internet kwenye app tajwa tu.

Nahisi unatumia access point either ya wap au mms hizo ndo zina proxy.

Nakushauri tena tengeneza manual configuration za internet na apn iwe internet na sio wap then activate hio apn mpya

Kutengeneza
Settings > Wireless &
networks > Mobile networks >
Access Point Names > {Menu}
> New APN
Name: gurta
APN: internet
APN type: default or leave it
blank
 
chief-mkwawa Asante sana mkuu, I successfully resolved the prob using your method. Appreciated
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom