wakuu hesima kwenu mimi nina simu aina ya sumsung galaxy original ila Kuwa bahati mbaya niliindosha sasa baada ya hapo imekuwa na tatizo kubwa niki select icon ya play store inafunguka camera na nikifungua filemananger inafunguka setting nifanyaje wadau please