Msaada: Samsung A 51 imesumbua

Imeshakufa....nilizubguka nayo madukani hapo kariakoo kila fundi mkorofi nilipita naye hiyo ni yakuchovya na haina faili kwani wao Wana file kwa Samsung A51 org
 
Imeshakufa....nilizubguka nayo madukani hapo kariakoo kila fundi mkorofi nilipita naye hiyo ni yakuchovya na haina faili kwani wao Wana file kwa Samsung A51 org
Kivipi mzee hii tumesahau password tu mkuu ambyo ni pattern kama inavyoonesha hapo
View attachment 1812701
 
Simu ishakaa fresh

Hapa namba mbili sijaelwa bado mkuu
 
Mkuu naomba unipe muongoza wa hzo simu ambzo umesema ni refurb lakin ni OG .....zinakuwaje na shida yake nn na OG .....hii yangu naona kama nayo ndo hzo refurb
 
Mkuu naomba unipe muongoza wa hzo simu ambzo umesema ni refurb lakin ni OG .....zinakuwaje na shida yake nn na OG .....hii yangu naona kama nayo ndo hzo refurb
Refurb mkuu ni kama kubet, unaweza Uziwa simu ikawa ni kama mpya isisumbue hata kidogo na nyengine ikawa na matatizo lukuki.

Refurb hutokana na simu ambazo wateja wamezirudisha huko ughaibuni, then watu wanazitengeneza na kuja kuziuza huku, kunakuwa na manufacture refurbished ambazo mtengenezaji kifaa husika mwenyewe ndio amezi repair hizi kidogo zinakuwa na afadhali.

Tatizo LA wafanya biashara wa bongo wanapenda sana mteremko wanaonunua zile refurb mbovu kabisa kuja kupata faida huku,
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…