Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,073
- 43,520
Kama wadau wengine walivyohoji kuna uwezekano ni refurb, vyema ukairudisha wao ndio watafute solution.Wakuu habari zenu
Nina simu yangu nimenunua majuzi hapo(haina hata week?) aina ya samsung hzi A 51 series....sasa jana imeisha chaji ikazima nikaichaji fresh kuwaka ndo ikaanza mazengwe fingerprint haipo na pattern haichoreki (do not draw)
Msaada juu ya tatzo hili wakuu
Chief-Mkwawa na wengine msaada tafadhali.
Sim nyingi kko wana chomekea tuMmhh hyo itakuwa A 72 au 52 kama sikosei ....mkuu nilizama chimbo za jumla hafu si unajua mlimani kwa washua.....
Kama wadau wengine walivyohoji kuna uwezekano ni refurb, vyema ukairudisha wao ndio watafute solution.
Alternative download smart switch kwenye pc, kesha Nenda emergency software recovery halafu Fuata maelekezo, smart switch ina uwezo wa kuflash bila kupoteza data.
Mi nimenunua tigoshop last yesr 850Kkoo 585k
Hivi na kujua kwmba simu ni copy au OG unajuaje?Kama wadau wengine walivyohoji kuna uwezekano ni refurb, vyema ukairudisha wao ndio watafute solution.
Alternative download smart switch kwenye pc, kesha Nenda emergency software recovery halafu Fuata maelekezo, smart switch ina uwezo wa kuflash bila kupoteza data.
Poa,fanya hivyoIsiposetika kesho asubaaa nawatimbia mzee....
Yule jamaa kwa muonekano ni kama shekhee mpemba hv anajiita big matelephone pia alituhakikishia ikizngua ileteni ........ngoja tuone kama atazngua hyo kesho si unajua moyo wa mtu kichaka.Poa,fanya hivyo
Kko wanauhuni sana
Kwenye uuzaji wa sim
Ova
Siku hizi hata hawatengenezi sana hizo copy, Bali wanauza hizo hizo OG lakini ambazo ni refurbished.Hivi na kujua kwmba simu ni copy au OG unajuaje?
SureYule jamaa kwa muonekano ni kama shekhee mpemba hv anajiita big matelephone pia alituhakikishia ikizngua ileteni ........ngoja tuone kama atazngua hyo kesho si unajua moyo wa mtu kichaka.
Mh! Next time acha kununua Simu kwenye hayo Maduka ya AjabuajabuKkoo kwa big matelephne
Tatzo kumbe ni pattern ndo imesahaulika wakuu msaada hapoSiku hizi hata hawatengenezi sana hizo copy, Bali wanauza hizo hizo OG lakini ambazo ni refurbished.
1. Kujua og washa simu Kisha download software kama cpu Z toka playstore itakuonesha hardware za ndani kama soc, ram, storage etc Kisha linganisha na specs halisi toka gsmarena.
2. Kujua refurb ingia download mode, shikilia Bixby ama home na power button na volume down kwa pamoja itaingia download mode Angalia model yake ni ipi?
Uki hard reset inatoka pattern lakini unapoteza data zote.Tatzo kumbe ni pattern ndo imesahaulika wakuu msaada hapo