Simpo tu mwambie boss inaf iz inaf ova
Nchi ya viwonder hii! Boss mzima hata kuandika barua ya kusitisha ajira tu nayo mpaka usaidiwe JF? Sasa kama una sample hapo umeshindwa nini kuiboresha hiyo?Nahitaji kumwandikia barua ya ukomo wa ajira mtumishi ambaye mkataba wake wa kazi umeisha ili aweze kuombea mafao yake NSSF. Kwa hiyo nilikuwa nahitaji kwa wanaofahamu wanisaidie ili niweze kuboresha sample niliyonayo.
Jamaa dizain ni mzito kujiongeza ..... hazinaga fomaliti ww mleta mada... andika ukiona inameke sense imebeba ujumbe unaoeleweka itume acha wogaNchi ya viwonder hii! Boss mzima hata kuandika barua ya kusitisha ajira tu nayo mpaka usaidiwe JF? Sasa kama una sample hapo umeshindwa nini kuiboresha hiyo?
Si ndo hapo na mimi nikabaki nashangaa!!! Vijana wanapata majukumu yanayowazidi kimo.Jamaa dizain ni mzito kujiongeza ..... hazinaga fomaliti ww mleta mada... andika ukiona inameke sense imebeba ujumbe unaoeleweka itume acha woga
Weka sample yako kwanza tuione ili tuifanyie maboresho!Nahitaji kumwandikia barua ya ukomo wa ajira mtumishi ambaye mkataba wake wa kazi umeisha ili aweze kuombea mafao yake NSSF. Kwa hiyo nilikuwa nahitaji kwa wanaofahamu wanisaidie ili niweze kuboresha sample niliyonayo.
Habari zenu wanajamii,
Kwa yeyote mwenye sample ya barua ya ukomo wa ajira naomba msaada. Kwa lugha ya Kiswahili au English.Natanguliza shukrani.
badala ya kuuliza hapa ungegoogleHabari zenu wanajamii,
Kwa yeyote mwenye sample ya barua ya ukomo wa ajira naomba msaada. Kwa lugha ya Kiswahili au English.Natanguliza shukrani.
Nahitaji kumwandikia barua ya ukomo wa ajira mtumishi ambaye mkataba wake wa kazi umeisha ili aweze kuombea mafao yake NSSF. Kwa hiyo nilikuwa nahitaji kwa wanaofahamu wanisaidie ili niweze kuboresha sample niliyonayo.
sHabari zenu wanajamii,
Kwa yeyote mwenye sample ya barua ya ukomo wa ajira naomba msaada. Kwa lugha ya Kiswahili au English.Natanguliza shukrani.
Habari zenu wanajamii,
Kwa yeyote mwenye sample ya barua ya ukomo wa ajira naomba msaada. Kwa lugha ya Kiswahili au English.Natanguliza shukrani.
Jamaa dizain ni mzito kujiongeza ..... hazinaga fomaliti ww mleta mada... andika ukiona inameke sense imebeba ujumbe unaoeleweka itume acha woga[/QUOT
Kaajiriwa jana msaidieni!
GPA yake imetokana na kudesa amefaulu kwa kutegemea "miji" na "vijiji" kule chuoni unataraji nini? teh! Teh!Ila watu mnapenda "kudesa" loooh! yaani hata hilo nalo hadi upewe sampo!!!!!

Ni kweli kuwa sio ujinga lakini kuna Msaada ukiomba una dhihirisha ulivyo.Ndugu zangu jamii forums.. Tuwe na busara. Kuomba msaada wa kuelekezwa jambo sio ujinga. Admn jamii forums....
Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app