Uko mkoa gani? Hiyo simu umenuna mtaani sasa cha kufanya unatakiwa umuone fundi simu aliyekaribu yako ili aweze ku patch network upyaa kwa kifaa maalumu.
Nimeona hapo imei status ni NG inatakiwa iwe OK na kuiweka OK mpaka kwa kifaa maalumu so muone fundi simu aliyekaribu mwenye ujuzi na samsung.
Ungekuwa mkoa niliko ningekufanyia kazi.