Uninstal Tubemate ya zamani instal upya kuna version mpyaNatumia samsung S2 nilikuwa na uwezo wa kudownload app. na kuangalia videos youtube. Ila kwa kipindi hiki wiki 2 sasa sina uwezo wa kudownload chochote wala kuangalia video online..msaadata tafadhari