Msaada Rom/Firmware ya Vodafone VFD 300

Sogol

Member
Joined
Nov 1, 2016
Posts
20
Reaction score
4
Habari

Wakuu naomba msaada wa firmware ya hii simu "Vodafone Smart Mini 7 - Model VFD 300"

Nimetafuta kwenye site mbalimbali bila mafanikio

Asanteni
 
Habari

Wakuu naomba msaada wa firmware ya hii simu "Vodafone Smart Mini 7 - Model VFD 300"

Nimetafuta kwenye site mbalimbali bila mafanikio

Asanteni
Ni kwel mr. sema mimi nina file nli copy kutoka kene simu ingine ya VFD 300..... nlijaribu ku write kwenye hii yangu ilikataa
 
Mm nna backup ya scarter na bin pia... Nme ibackup kwa miracle box ila ukitumia flashtool inagoma
 
Mm nna backup ya scarter na bin pia... Nme ibackup kwa miracle box ila ukitumia flashtool inagoma

Ukitengeneza scatter kwa kutumia miracle box haikubali ku write kwa kutumia sp flashtool nilitest nika notice... tumia miracle box ku write back

Mkuu naomba hiyo bin file
 
link hii hapa ila jamani nilikua bussy kwa siku kadhhaaa (PolaTech)Tecno_N2_Scatter_MT6580.7z

Mkuu, hii firmware ni ya Tecno N2 na network ni Tigo, manufacturer ni Tecno... Mimi niliitaji ya Vodafone Smart Mini 7 model VFD 300 na network ni Vodacom, Manufacturer ni TCL/Alcatel

Nimeidownload kujiridhisha na kuiload kwenye miracle box details zimeonesha ni Tecno N2

Kama unayo ya "Vodafone Smart Mini 7 - VFD 300" naomba
 
LABDA NIKIPATA SIMU KM HIYO NI READ KM SCATTER FILE JAPO ITATUMIA MUDA VINGINEVYO UKIPATA MUDA WA KUJA MOROGORO NJOO NAYO KWANI WEWE UKO PANDE ZIPI
 
LABDA NIKIPATA SIMU KM HIYO NI READ KM SCATTER FILE JAPO ITATUMIA MUDA VINGINEVYO UKIPATA MUDA WA KUJA MOROGORO NJOO NAYO KWANI WEWE UKO PANDE ZIPI

Asante mkuu, Nipo mbali sana na Morogoro
 
Wana JF msaada tafadhali mwenye scatter au bin file ya hii simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…