huko kwenu viroba vtakiwa bdo vinauzwa... miracle box haina uwezo wa kurepair g900 mkuu. kama wew ni fundi basi nina mashaka na tasnia yako na kama cyo fundi ucwe unakurupuka vtu usivyovijua..sio ucngizini ni usingizini..
ndio nilishawahi kutumia
25 ungewapa haraka sana coz hata mim sifanyi hyo kazi kwa 2525,000 wakati simu ipo rooted tayari.
Kuna mmoja ana box ila kasema s5 haipo kwenye box, tena nilishampanga kwa 10,000. Tena hii ni leo asubuhi, nilijeruhika sana.Iyo bei ndogo tu wape 15,000 wakilia sana 20.
Hapo kuna box la Zbox kitu kama icho.
Ilishanitokeaga kwenye S3 back in in time
Sawa Mkuu nimekuelewa.25 ungewapa haraka sana coz hata mim sifanyi hyo kazi kwa 25
ujinga na upumbavu ni kudhani wewe ndio mjuzi wa kila kitu, mimi sio fundi wa kukaa vibandani BUT mtu akiwa na shida huwa namsaidia. Hapa hatujaja kuoneshana nani anajua zaidi but kuchangia mada. Kama kuna njia amvayo wewe unaona ni bora zaidi iweke hapa kumsaidia mleta post. We inaonekana ni mwehu sana hovyo kabisahuko kwenu viroba vtakiwa bdo vinauzwa... miracle box haina uwezo wa kurepair g900 mkuu. kama wew ni fundi basi nina mashaka na tasnia yako na kama cyo fundi ucwe unakurupuka vtu usivyovijua..
mi hata cjajitambulisha kama ni fundi cmu eti.. nakushangaa unavyotoka povu mkuu kwa vitu vya kijinga sana.. infact naendelea kusisitiza hakuna miracle box inayo repair g900h... toka povu utakavyotoka bt hyo kitu yako labda kwenye sayari nyingneujinga na upumbavu ni kudhani wewe ndio mjuzi wa kila kitu, mimi sio fundi wa kukaa vibandani BUT mtu akiwa na shida huwa namsaidia. Hapa hatujaja kuoneshana nani anajua zaidi but kuchangia mada. Kama kuna njia amvayo wewe unaona ni bora zaidi iweke hapa kumsaidia mleta post. We inaonekana ni mwehu sana hovyo kabisa
Njoo pm mikupe maujanja ili line isome mdauMkuu, itakuwa ni vyema kama ikarudi ktk IMEI yake ila hata ikapatikana nyingine sio vibaya kuliko simu kukaa ndani tu.
Tayari Mkuu.Njoo pm mikupe maujanja ili line isome mdau
Itakuwa s5 clone ndo anazungumuzia huyo jamaa ya kurepair na miracle.mi hata cjajitambulisha kama ni fundi cmu eti.. nakushangaa unavyotoka povu mkuu kwa vitu vya kijinga sana.. infact naendelea kusisitiza hakuna miracle box inayo repair g900h... toka povu utakavyotoka bt hyo kitu yako labda kwenye sayari nyingne