ukipiga *#06# inaleta imei zipi?Habarini wakuu!
Simu yangu tajwa hapo juu imepata tatizo la IMEI Number, sijui chanzo ni nini ila imetokea tu IMEI Number imebadilika. Nimehangaika saana na rafiki yangu ila bado inasumbua, nimeamua kuleta kwenu suala hili wakuu ili mnisaidie.
Simu ni Galaxy s5 ina Lollipop ya 5.0.
Model Number ni SM-G900H
Simu ipo rooted tayari.
Asanteni!
004999010640000ukipiga *#06# inaleta imei zipi?
hapo inakupasa kurepair imei number urudishe original imei ambazo ziko nyuma kwenye hko ki sticker004999010640000
Sawa Mkuu nakusubiri, hii simu inanipasua kichwa.kama haisupport imei repair kuna kitu inaitwa super imei.. ngoja nicheki hapa ntakupa update baada ya km 2mins
Nipo Akiba, Posta.we uko wapi?
Mkuu, itakuwa ni vyema kama ikarudi ktk IMEI yake ila hata ikapatikana nyingine sio vibaya kuliko simu kukaa ndani tu.ni imei repair to original imei or jst super imei
Mkuu, kule nimeshindwana nao bei kwa sasa.uko mbali na nilipo, nadhani posta kuna mafundi wengi sana bt km vp nenda k koo utafanikisha zoezi lako
Hamna jinc mkuu wewe ongea nao tu vzur kwani nao pia wapo kazinMkuu, kule nimeshindwana nao bei kwa sasa.
walikwambia tsh ngap?Mkuu, kule nimeshindwana nao bei kwa sasa.
we ulishawahi kutumia hyo miracle box ku repair imei on g900 au umetoka ucngizini?tumia miracle box (cracked) very easy
25,000 wakati simu ipo rooted tayari.walikwambia tsh ngap?
sio ucngizini ni usingizini..we ulishawahi kutumia hyo miracle box ku repair imei on g900 au umetoka ucngizini?