jaman dunia inamambo! mke wangu alikua anakuja narafikie hm cha ajabu rafikie alikua mtu wautani sn kama nilivo me. siku hiz haish kunipigia cm mpaka sa 6 ucku na me np mbali na wife kwan np mwanza kikaz wf yupo dar chuo.anapopiga cm huongea maneno yakimapenz na mitego nikahic bado utan! wf kumbe alishagundua kitambo na aliambiwa na rafikie mwingine kua rafikio anamtaka mmeo hivyo kuwa macho na wife kanambia hayo juz2 baada kuona rafikie kaongeza kas!.sasa naomben ushaur namna ya kukata mawasiliano nae.binafc sina mpango wakumla na naipenda ndoa yangu.

duu hapo c ndo ntaharibu kabisa
Kila akikupigia simu usipokee. Ni hivyo tu.
Usipokee simu, kama unaweza block hiyo namba ni bora. Eti hauna ulazima nae la sivyo utaharibu unyumba wako bure.
we kyanaKyoMuhaya!!ushauri gani sasa huu!!unataka huyo mwanamke aishi kama kisiwa asitembelewe hata na shoga zake!!!hapo atakuwa anaikimbia dhambi siyo kuishinda!Divert NAMBA iende kwa mkeo, halafu mwambie atume meseji ndio utamuelewa.pia kuelezea mkeo aache kuleta mashoga nyumbani.
me c mtoto nimatured adult 30yrs and 5yrs in mariage. ss utoto wangu ni nn kuomba ushaur au?
Cheap solutions for tough challenges....Pokea simu, mpe za uso! Akiendelea divert calls kwa mkeo!
kazi ipo na hizi ndoa!
Usifuate kabisa huo ushauri ndugu.....duu hapo c ndo ntaharibu kabisa
Nadhani hili liko within your capacity,unaweza tu ukablock number yake au akipiga usipokee kama kweli huna nia ya kufanya mbaya naye.!!!!!!!!!!!!
jaman dunia inamambo! mke wangu alikua anakuja narafikie hm cha ajabu rafikie alikua mtu wautani sn kama nilivo me. siku hiz haish kunipigia cm mpaka sa 6 ucku na me np mbali na wife kwan np mwanza kikaz wf yupo dar chuo.anapopiga cm huongea maneno yakimapenz na mitego nikahic bado utan! wf kumbe alishagundua kitambo na aliambiwa na rafikie mwingine kua rafikio anamtaka mmeo hivyo kuwa macho na wife kanambia hayo juz2 baada kuona rafikie kaongeza kas!.sasa naomben ushaur namna ya kukata mawasiliano nae.binafc sina mpango wakumla na naipenda ndoa yangu.[/QUOTE
Sioni hata kuna haja ya kuomba msaada, umesema una mpango naye....
1, Acha utani naye akipiga ongea naye kawaida usimshereheshe/ kumu-entertain kwa utani kwani umesema na ww ni mtu wa matai
2, kama uwezi na utashindwa kwa hiyo ya kwanza basi usipokee simu zake:
NOTE:
Kuwa makini na wife wako kama atakuwa na marafiki kama huyo basi inawezekana wakawa ndio tabia mmoja...wanasema "" birds of the same feathers fly together"" take care
Cheap solutions for tough challenges....Pokea simu, mpe za uso! Akiendelea divert calls kwa mkeo!
dunia ina mambo kweli na usipoangalia utapoteza ndoa yako kwa huyo mjinga..
huna haja ya kujikausha, mwambie ukweli mtumie sms ya ukali mwambie akome kabisa upuuzi wake apeleke huko huko..tena mwambie ushamwambia wife wako kuhusu hiyo tabia yake ya kukupigia simu hadi usiku wa manane na kuongea lugha ya mapenzi..
anatakiwa ajue kuwa mkeo amejua huo u*s*h*e*nzi wake..huyo sio rafiki ni mkia wa fisi na mkimuendekeza atawafilisi..
Let's assume, you are Iniesta na mimi ni Messi.., hope u know wat am seyini...:glasses-nerdy:
hahaha ndoa ndoano.... vijana wa siku hizi hawajui namna ya kukwepa mitego midogo kama hiyo... ingekuwa kama ile je cacico??