Mimina wewe
Member
- Apr 29, 2013
- 25
- 2
ndugu zangu naombeni msaada wa jinsi ya kumsaidia rafiki yangu kuondokana na tabia ya kupiga punyeto.
Nna rafiki yangu wa kike ambaye kabla nimekuwa simuelewi elewi kutokana na tabia zake za kutokutulia na mwanaume kwa madai kuwa hafurahii mapenzi pale wanapokuwa wanafanya tendo kwa sababu anahisi maumivu na hapati raha yeyote.
Baada ya kumdadisi sana, juzi akaniambia kitu kilichonishtua na kunistaajabisha na wala sikukitegemea toka kwa binti mrembo kama yeye!. Aliniambia ''ANAONA WANAUME WANAMZINGUA TU KWA SABABU YEYE WAGA ANAJITIMIZIA HAJA ZAKE MWENYEWE NA ANA ENJOY KULIKO ANAVYOKUWA NA MWANAUME, HIVYO HAWEZI KUMPENDA MWANAUME''.
Nilijaribu kumshauri kadri ya uwezo na upeo wangu aachane na tabia hiyo ila alikataa kabisa na akaniambia ''HATEGEMII KUIACHA TABIA IYO LEO WALA KESHO KWA SABABU NDO INAYOMPA FARAJA KILA ANAPOJIHISI MPWEKE NA ETI WANAUME MIZINGUO TU''
Nisaidieni kumshauri.